YOUTH & CHILDREN DIALOGUE
YC-Dialogue Tovuti ya Vijana na Watoto
Karibu kwenye Tovuti yetu Phone (+255 22 2150811)Fax (+255) 22 2151603

The unicef Infomation Resouce Centre,Dar es salaam Tanzania......

Kadi za salamu IRipoti za midahaloIChatroom IPichaITovuti za vijanaIWasiliana nasiIHabari mpya IBarua pepeI

Go to home

Zimeni simu zenu mkiwa MKUTANONI !

Wanamdahalo wamelalamikia baadhi ya wanamdalo kuacha simu zao zikiwa On na kuleta Usumbufu kwenye Mdahalo. Akizungumzia tukio hilo mmoja wa wana mdahalo (Jina kapuni) Alisema huo ni ushamba tuu,Vilevile inaharibu Tension ya watu walio makini kusikiliza kinachoendelea ,"Unajua watu wengine tunapokuwa tunasikiliza kwa makini kikitokea kitu tofauti tunama kabisa kiakili na kupoteza yale ya muhimu"

Ushauri ulioptolewa na waandaaji ni kwamba mtu anapoingia na simu basi aweke Vibration kama haina Basi Aizime kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa  mimi nawaambia Acheni hizo bwana

*Usisahau kujiandikisha ili utumiwe mialiko ya Kila MWEZI   click here


Kumi kuudhuria Dialogue TGDLC

 Bonyeza hapa! 

Kutana na Waandaaji Wapya Wa Midahalo wa Vijana Organizes

Kama kuna mtu ana Habari yoyote inayohusiano na Vijana au anaona kama Habari yooyte inaweza kuwafaidisha Vijana,Vilevile kama unataka kuwa na Page yako ambayo itakuelezea wewe binafsi,Tuandikie kwa Kupitia E-mail yetu youth@youthdialogue.zzn.com

NB:Ukitaka ukurasa wako Binafsi kumbuka kuandika kila kitu kinachokusu na ambacho utataka kionekane kwenye Huo ukurasa wako

 

 

Una habari yoyote iyusuyo Vijana ? Tutumie   webmaster@youthdialogue.zzn.com

 

Send mail to webmaster@youthdialogue.zzn.com with questions or comments about this web site.
Copyright 2004 Youth & Children Dialogue